Monday, December 5, 2016

Ndege mpya za Air Tanzania zitakazokuja siku za mbeleni


Tanzania yanunua ndege nyingine tatu mpya

Bombardier Wins Orders for Two CS300 and One Q400 Aircraft from Tanzania

December 2, 2016 Montréal
Commercial Aircraft,  Press Release


Bombardier Q400 and CS300 aircraft Air Tanzania colours

Low Resolution (72 KB)High Resolution (4 MB)
Bombardier Commercial Aircraft announced today that the United Republic of Tanzania represented by the Tanzanian Government Flight Agency (TGFA) has signed firm purchase agreements for two CS300 jetliners and one Q400 turboprop aircraft. The aircraft will be leased to and operated by Air Tanzania (The Wings of the Kilimanjaro) based in Dar es Salaam.

Based on the list prices of the CS300 and Q400 aircraft, the combined value of the purchase agreements is approximately $200 million US.

Like the two Q400 turboprop aircraft delivered to the TGFA for lease and operation by Air Tanzania in September 2016, the third announced today will have an all-economy, 76-seat interior with two lavatories. The two CS300 airliners will be configured in a dual-class layout, and will be equipped with WiFi internet and in-flight entertainment.

“The domestic market in Tanzania as well as the regional market are becoming more competitive as both business and leisure travel are steadily increasing,” said Dr. Leonard Chamuriho, Permanent Secretary at Tanzania’s Ministry of Works, Communications and Transport. “Therefore it is vital to operate aircraft that offer superb passenger comfort and amenities. Of course, high reliability, operational flexibility, as well as excellent fuel efficiency and economics are also necessary. Both the Q400 and CS300 aircraft more than satisfy these parameters.”

“We are delighted that the Q400 aircraft which entered service with Air Tanzania earlier this year are proving their superior economics and versatility. The CS300 aircraft will allow Air Tanzania to expand both its domestic and regional markets, and it has the range to open new international destinations such as the Middle East and India at the lowest cost. The C Series jet aircraft have the right attributes to develop these markets,” said Jean-Paul Boutibou, Vice President, Sales, Africa and the Middle East, Bombardier Commercial Aircraft.

Including the purchase agreement announced today, Bombardier has recorded firm orders for 566 Q400 and 360 C Series aircraft.

About C Series Aircraft
The C Series is the only aircraft optimized for the 100- to 150-seat market segment, which drives the aircraft’s phenomenal economic proposition and performance, opening up new opportunities for single-aisle aircraft operation. The C Series aircraft is manufactured by the C Series Aircraft Limited Partnership, an affiliate of the Bombardier Commercial Aircraft segment of Bombardier Inc.

Comprised of the CS100 and the larger CS300 aircraft, the C Series family represents the fusion of performance and technology. The result is aircraft that deliver unmatched performance and economics in the 100- to 150-seat market segment and an 18 per cent lower cost per passenger, making them the ideal candidates to complement larger single-aisle aircraft. Airlines can now operate routes that were previously not profitable or even possible. An improvement in range in excess of 20 per cent out of hot-and-high airports such as Denver, Mexico City or Lhasa has been confirmed.

Bombardier has created a new standard in cabin design and flexibility to ensure an unrivalled passenger experience. The aircraft’s larger seats, overhead bins and windows deliver a wide-body feel that offers passengers unparalleled comfort in a single-aisle cabin.

The CS100 and the CS300 aircraft have over 99 per cent parts commonality as well as Same Type Rating. The groundbreaking Pratt & Whitney PurePower® PW1500G engine, combined with the aircraft’s advanced aerodynamics, delivers reduced fuel burn, noise, and emissions –  making the
C Series the most community-friendly aircraft.

About Q400 Aircraft
Designed as a modern, 21st-century turboprop, the Q400 aircraft is the most recent development in the Q Series family of aircraft. It provides unmatched performance, operational flexibility and passenger comfort. In addition to the standard single-class configuration, Q400 aircraft are available with an optional dual-class interior for enhanced passenger comfort; in an optional extra-capacity configuration offering up to 90 seats for higher-density markets; and in a cargo-passenger combi configuration.

Thanks to its combination of turboprop attributes, jet-like features, industry-leading passenger experience and environmental footprint, the Q400 aircraft is exceptionally versatile and can be adapted to a variety of business models. By offering a 30 per cent reduction in fuel burn over the jets it often replaces, the Q400 aircraft radically reduces carbon emissions and increases cost efficiency. Its high-speed cruise -- 160 km/h faster than conventional turboprops -- places the aircraft’s flight time within minutes of jet schedules, at the same seat cost as larger single-aisle jets. Its large propellers operate at a lower RPM, generating more power with less noise and making it a friendly option for city centres.

The Q400 aircraft family includes over 60 owners and operators in almost 40 countries. The worldwide fleet has logged more than 6.9 million flight hours and has transported more than 429 million passengers. Long recognized as a high-value asset by operators, the Q400 aircraft is now also attracting growing interest from the leasing community.

Monday, October 28, 2013

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MZIZIMA WAHAMASISHWA KUJIUNGA KLABU ZA UMOJA WA MATAIFA

DSC_0083

Mgeni rasmi Balozi wa Hispania nchini, Luis Manuel Cuesta Civis akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mzizima umuhimu wa kujiunga na vilabu vya vijana unaoratibiwa na Umoja wa Mataifa katika ngazi za shule za msingi na sekondari wakati wa maadhimisho ya siku ya Umoja wa Mataifa yaliyoandaliwa na shule hiyo.
DSC_0297
Afisa Habari wa Kitengo cha Mawasiliano cha Umoja wa Mataifa, Usia Nkhoma Ledama akizungumza vijana wa Shule ya Sekondari ya Mzizima katika kampeni ya kuwahamasisha vijana wa shule za sekondari kujiunga na vilabu vya vijana ili waweze kupata nafasi ya kujifunza malengo ya milenia, mijadala, program za redio ili kukuza uelewa wao kuhusu umoja wa mataifa 
Umoja wa Mataifa kufanya kazi kwa karibu na vijana wa Tanzania katika ngazi ya shule za msingi, sekondari na vyuo kupitia Vilabu vya Umoja wa Mataifa. Vilabu na wajumbe wa wanafunzi wa shule za sekondari ambao kujipanga ili kuongeza uelewa na ufahamu msaada wa Umoja wa Mataifa.
Vilabu vya Umoja wa Mataifa katika ngazi ya chuo kikuu ni inayojulikana kama Sura ya Umoja wa Mataifa. Hivi sasa kuna vilabu 221 vya Umoja wa Mataifa katika Tanzania Bara na Zanzibar.
Mtandao wa Vilabu wa Umoja wa Mataifa , Umoja wa Mataifa Vilabu Mtandao Tanzania ( UNCTN ), ilianzishwa mwaka 2006 . UNCTN inatoa jukwaa kwa njia ambayo Vilabu vya Umoja wa Mataifa ni kuletwa pamoja na jukumu katika masuala ya maendeleo zinazoikabili Tanzania kwa ujumla, na wale ambayo kuathiri vijana hasa. 
Vilabu huwapa wanafunzi nafasi ya kupanga na kushiriki katika shughuli za baada ya shule ambayo ni pamoja na: kuwafikia, upendo kazi na matukio ya Umoja wa Mataifa -kuhusiana na jamii kama vile kuongeza ufahamu juu ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs) , mijadala , programu za redio na mikutano Club. Vilabu pia kuruhusu vijana kushiriki katika mafunzo , warsha na mikutano ya ndani na nje ya nchi , hasa katika ngazi ya kitaifa , kikanda na kimataifa Model Mkutano wa Umoja wa Mataifa .
DSC_0166
Mwenyekiti wa UN Chapter chuo kikuu cha Dar es Salaam Bw. Pascal Mashanga akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari Mzizima kuwahamasisha kujiunga na vilabu vya Umoja wa Mataifa na faidi zake hapo baadae wakati wa sherehe maalum ya siku ya Umoja wa Mataifa iliyoandaliwa na shule hiyo.
DSC_0091
Picha juu na chini ni Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari Mzizima wakionyesha furaha katika siku hiyo maalum iliyoandaliwa na shule yao.
DSC_0094
DSC_0064
DSC_0217
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mzizima wakitoa buradani mbalimbali wakati wa siku maalum ya kusheherekea maadhimisho ya Umoja wa Mataifa kwa mila na desturi za tamaduni tofauti kama inavyoonekana pichani.
DSC_0137
DSC_0192
DSC_0127
Baadhi ya vijana wa shule ya sekondari ya mzizima wakifuatilia burudani mbalimbali wakati wa tukio hilo.
DSC_0131
DSC_0155
Mwalimu Rebeca Llavata wa shule ya sekondari Mzizima (aliyenyoosha mkono) akiteta jambo na Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa, Usia Nkhoma Ledama wakati maadhimisho ya siku ya Umoja wa Mataifa yaliyoandaliwa na shule ya Sekondari Mzizima ya jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Msaidizi wa Maktaba ya UNIC Harriet Macha.
DSC_0316
Usia Nkhoma Ledama akizungumza na moja ya klabu ya vijana shuleni hapo.
DSC_0337
Baadhi ya wanachama wa UN Club wa shule ya Sekondari Mzizima wakimsikiliza kwa makini Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa Usia Nkhoma Ledama (hayupo pichani).
DSC_0351
Mlezi wa UN Club akifafanua namna atakavyoweza kuendesha shughuli mbalimbali kupitia Club hiyo ili kuwajenga kidiplomasia wanafunzi wake.

Taswira Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Mgeni Rasmi Jubilee Ya Miaka 100 Ya Parokia Ya Lugoba

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mh. Ahmed Kipozi.
 Rais Jakaya Kikwete  na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki  wa Jimbo la Morogoro Onesphory  Mkude, wakishuhudiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Anthony Banzi,   wakiweka jiwe la msingi katika kiwanja kitakachojengwa jengo la vijana katika Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua zahanati katika Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.i ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akiwaonyesha jambo  maaskofu wakati wa jumilee ya miaka 100 ya kanisa katoliki parokia ya Lugoba
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwaonesha  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki  wa Jimbo la Morogoro Onesphory  Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Anthony Banz na  viongozi wa mkoa wa pwani iliyokuwa inaendeshwa na darasa alilosomea wakati alipokuwa shule ya kati ilinayoendeshwa na Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani,Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Masista wa Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani,Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika  Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.i ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki  wa Jimbo la Morogoro Onesphory  Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Anthony Banzi, viongozi wa mkoa wa pwani na kwaya pamoja na watoto wa shule ya Jumapili katika  Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 Parokia hiyo.

Vigogo wa ccm wapata shahada chuo kikuu

 Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha-Rose Migiro, akimpongeza Kada wa CCM, Asha Abdallah Juma, baada ya kumtunuku shahada ya pili ya Biashara ya Chuo hicho, katika mahafali ya 25, yaliyofanyika leo, Makao Makuu ya OUT, Bungo, Kibaha mkoa wa Pwani. Kushoto ni Makamnu Mkuu  wa Chuo hicho, Profesa Tolly Mbwette. Asha ambaye sasa ni Mjumbe wa NEC CCM, amewahi kuwa Wazirikatika serikali ya Mapinduzi Zanzibar na pia Katibu wa NEC, Oganaizesheni.
MKUU wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma katika Idara ya Itikadi na Uenezi CCM, Makao Makuu, Daniel Chongolo, akipongezana na Mjumbe wa NEC ya CCM, Asha Abdallah Juma baada ya wote kutuniwa shahada zao katika mahafali ya 25 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), yaliyofanyika jana, Oktoba 27, Bungo, Kibaha mkoa wa Pwani.  Chongolo ametunukiwa shahada ya kwanza ya Mawasiliano ya Umma na Asha shahada ya Pili ya Biashara. Katikati ni Kada wa CCM, Rachel Kyala ambaye pia ametunukiwa shahada ya Mawasiliano ya umma.

Mahafali ya kwanza ya shule ya wama

1Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mama Salma Kikwete Mwenyekiti wa Taaisis ya Wanawake na Maendeleo WAMA wakati alipowasili katika viwanja vya mahafali katika mahafali ya Kwanza ya Shule ya Sekondari WAMA Nakayama yaliyofanyika katika shule hiyo iliyopo katika kijiji cha Nyamisati, Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani jana.Zaidi ya wanafunzi 60 walitunukiwa vyeti vya kumaliza kidato cha nne na zawadi mbalimbali zilitolewa kwa wahitimu wakati wa mahafali hiyo ambayo ilihudhuriwa pia na viongozi na watu mashuhuri akiwemo balozi wa Japan na wafanyabiashara ambapo mwenyekiti wa IPP Reginald Mengi aliahidi kuisadia shule hiyo shilingi milioni 200 kila mwaka kwa miaka mitano mbazo ni kiasi cha shilingi bilioni moja kwa miaka hiyo mitano.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-NYAMISATI RUFIJI 1aaRais Jakaya Kikwete akizungumza na wageni waaikwa na wahitimu wakati wa mahafali hayo jana huko Nyamisati Rufiji. 2Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa shule ya WAMA Nakayama Suma Mensa na viongozi mbalimbali wakati aliowasili shuleni hapo. 4Watu mashuhuri na viongozi mbalimbali wakiwa katika mahafali hayo 5Mama Salma Kikwete akiwasili katika eneo la tukio kushoto ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya shule hiyo Dr. Ramadhan Dau. 5aWahitimu wakiingia katika eneo la tukio 6Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma kikwete akicheza na wanawake wenzake wake wa viongozi. 6bRais Jakaya Kikwete wa nne kutoka kulia akiwa na viongozi mbalimbali katika meza kuu wakiimba wimbo wa taifa uliooongozwa na wanafunzi wa shule ya WAMA Nakayama kutoka kulia ni Balozi anzania Mhe.Masaki Okada Mkuu wa mkoa wa Pwani Ndugu Mwantumu Mahiza, Mama Salma Kikwetena kutoka kushoto ni Dr. Ramadhan Dau Mwenyekiti wa bodi ya shule ya Wama Nakayama na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa. 7Baadhi wa walimu wa shule hiyo 7cBaadhi ya wanakamati kutoka kulia ni Teddy Mapunda Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage, Daudi Nasibu katibu mkuu taaisis ya WAMA na Dan Kiondo. 8Baadhi ya wananfunzi wa shule ya WAMA Nakayama .

Sunday, October 27, 2013

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA BUGANDOYA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Jengo la matibabu ya Ugonjwa wa Saratani na Huduma za upasuaji wa Moyo, katika Hospitali ya Bugando Mkoa wa Mwanza, wakati wa wa Sherehe za Maadhimisho ya Sikukuu ya Bugando, iliyofanyika leo Hospitalini hapo. 
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tatu kushoto) akishuhudia zoezi la upasuaji wa Moyo alipokuwa akifanyiwa mmoja wa wagonjwa wa Moyo ndani ya Hospitali ya Bugando, baada ya kuzindua Jengo la Matibabu ya Ugonjwa wa saratani na Huduma za Upasuaji wa Moyo, mkoani Mwanza leo wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Sikukuu ya Bugando, iliyofanyika leo Hospitalini hapo.
  Shughuli ya Upasuaji mgonjwa wa Moyo ikiendelea.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwajulia hali baadhi ya wagonjwa kati ya watoto 18 waliokwishafanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Bugando kwa gharama ya SH. 50, 000/ badala ya gharama sahihi ya Sh. milioni 6. Makamu wa Rais Dkt. Bilal, leo amehudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Sikukuu ya Bugando, iliyofanyika leo Hospitalini hapo na kuzindua Jengo la Matibabu ya Ugonjwa wa saratani na Huduma za Upasuaji wa Moyo, mkoani Mwanza.
  Makamu wa Rais Dkt. Bilal (katikati) akionyeshwa moja ya mashine zinazotumika wakati wa upasuaji wa Moyo katika Hospitali ya Bugando. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wafanyakazi wa Hospitali ya Bugando, wakati wa sherehe za maadhimisho ya Sikukuu ya Bugando 'Bungado Day', iliyofanyika leo jijini Mwanza sambamba na uzinduzi wa Jengo la Matibabu ya Ugonjwa wa saratani na Huduma za Upasuaji wa Moyo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishuhudia moja kati ya chupa ya mafuta ya Vaseline, ambayo ni 'Feki' yaliyokamatwa na TFDA, wakati alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho kwenye Sherehe za maadhimisho ya Sikukuu ya Bugando, iliyofanyika leo sambamba na uzinduzi wa Jengo la matibabu ya Ugonjwa wa Saratani na Huduma za upasuaji wa Moyo. Picha na OMR