Monday, October 28, 2013

Taswira Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Mgeni Rasmi Jubilee Ya Miaka 100 Ya Parokia Ya Lugoba

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mh. Ahmed Kipozi.
 Rais Jakaya Kikwete  na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki  wa Jimbo la Morogoro Onesphory  Mkude, wakishuhudiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Anthony Banzi,   wakiweka jiwe la msingi katika kiwanja kitakachojengwa jengo la vijana katika Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua zahanati katika Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.i ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akiwaonyesha jambo  maaskofu wakati wa jumilee ya miaka 100 ya kanisa katoliki parokia ya Lugoba
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwaonesha  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki  wa Jimbo la Morogoro Onesphory  Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Anthony Banz na  viongozi wa mkoa wa pwani iliyokuwa inaendeshwa na darasa alilosomea wakati alipokuwa shule ya kati ilinayoendeshwa na Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani,Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Masista wa Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani,Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika  Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.i ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki  wa Jimbo la Morogoro Onesphory  Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Anthony Banzi, viongozi wa mkoa wa pwani na kwaya pamoja na watoto wa shule ya Jumapili katika  Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 Parokia hiyo.

No comments:

Post a Comment